Tazama Maajabu ya Sokwe wa Hifadhi ya Gombe, Wanaishi Kama Binadamu!


Published: 1 year ago | Tazama Maajabu ya Sokwe wa Hifadhi ya Gombe, Wanaishi Kama Binadamu! View and Download Video Any Format. Sokwe wa Hifadhi ya Gombe, ni miongoni mwa vivutio vikubwa duniani ambapo watalii kutoka sehemu mbalimbali, husafiri mpaka mkoani Kigoma, kwenda kuwatazama sokwe hao. Kipindi cha
Fahari ya Tanzania kinachorushwa na Global TV, kinakuletea video hii maalum ujionee mwenyewe jinsi sokwe hao wanavyoishi, tabia
zao zikishabihiana kwa sehemu kubwa na binadamu.
Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1
Gombe ni hifadhi ya taifa katika nchi ya Tanzania. Ni hifadhi ndogo kuliko zote nchini Tanzania ikiwa na kilometa za mraba 52 tu, lakini ina umaarufu mkubwa unaotokana na kivituo chake kikubwa ambacho ni Sokwe. Iko umbali wa kilometa 16 kaskazini ya mji wa Kigoma. https://sw.wikipedia.org/wiki/Gombe
Hifadhi hii ni ukanda mwembamba wa msitu wa mlimani unaokatizwa na miteremko mikali inayoingia katika mwambao wa Ziwa Tanganyika.
Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1
Gombe ni miongoni mwa makazi machache yaliyosalia ya Sokwe duniani. Hifadhi hii ilipata hasa umaarufu baada ya mtafiti wa tabia ya Sokwe duniani, Dr.Jane Goodall kufanya utafiti juu ya maisha ya tabia za Sokwe wa Gombe kwa miaka 40 na kuandika vitabu kadhaa kuhusu viumbe hawa.
Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1
Kwa hisani kubwa ya Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) na TANAPA, Global TV itakuwa ikikuletea vipindi vya wanyama, wakiwemo sokwe hawa ambao wanapatikana pembezoni mwa ziwa Tanganyika. Pia maisha ya wanyama kutoka mbuga za Wanyama za Tanzania za Serengeti, Ngorongoro na kwingineko.
Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1
Ni kipindi maalum cha kutangaza Utalii wa Ndani, ambao ni kielelezo tosha cha utajiri asilia wa nchi yetu Tanzania.
WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublishers/
TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari
INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpublishers/
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
http://www.youtube.com/c/uwazi1
http://www.youtube.com/c/uwazi1
http://www.youtube.com/c/uwazi1 :: AnyFormat.Net is the top video portal of World serving over 20 million views with unique users monthly ratio of 5 million. Feel free to check out our largest video database on sports, entertainment, political shows, comedy, humor, horror, science, people, games, romance, fantasy, crime, Music, Song, Poems, exotic and mystery Download With Any Format mp3, mp4, 3GP, webm, audio m4a . You will not only love us, you will share us! Be part of ANY FORMAT - Your ultimate video experienc.

You can watch this video on YouTube: https://www.youtube.com/watch?v=AY9d_h7brho
Sitting alone and obtaining bored! The simplest way to escape the problem is to seize your mobile and choose the Social Media existence. Facebook, Twitter, YouTube, etc. they'll never enable you to be bored. The entertainment this video Tazama Maajabu ya Sokwe wa Hifadhi ya Gombe, Wanaishi Kama Binadamu! through the web has been trendy since social media is rolling out .the priories of individuals have already been changed, all though social press was made with an active social gathering. However the results are obtaining the up-expected opposite. It has been observed the flavors of relations are receiving dull. The young generation especially, they have used the social media in the manner that the idea of socialism has been totally changed. The worthiness of time with family members may be the most important; that is the main cause that people are facing many family members issues. Social media has lower down the value of real experiences somewhere. People may have a large number of close friends on Facebook but doesn't have an individual friend in true to life. You may like a large number of articles for the social function, but you under no circumstances worked for the culture. You might have liked an incredible number of beautiful places, but you haven't been traveled. The truth is the standard of experience is just predicated on real experience. We highly promote viewers that vines and funny videos could be entertaining however the ultimate pleasure for the lifetime is founded on the true experiences.Already 264,682 viewers watched Tazama Maajabu ya Sokwe wa Hifadhi ya Gombe, Wanaishi Kama Binadamu! video. We help you that never allow interpersonal media ruined your genuine family and social lifestyle. Be considered a good manager rocks ! on social press and accountable for your family existence. This will help you to balance your obligations and enjoyments. Never allow yourself isolated from the best great encounters for the lifetime. Great videos could be a resource of entertainment, but these video clips won't give the memories.