Mahubiri ya neno la Mungu kutoka kwa Mchungaji Christopher Mwakasege aliyoyatoa katika semina iliyofanyika viwanja vya chuo kikuu mlimani.