Mimina Neema. Ni Toleo la 11 la Kwaya ya Mtakatifu Kizito, Parokia ya mwenye heri Anuarite - Makuburi, Dar es salaam. Huu ni wimbo mmoja miongoni mwa ...

Wimbo umeimbwa kwa ustadi mkubwa sana ukiwa ni maalum kwa kipindi hiki kitakatifu cha majilio ikiwa ni maandalizi ya kipindi cha Kristmas kuzaliwa kwa...

Uje roho mtakatifuni wimbo bora kabisa wa wakati wote ambao huimbwa wakati wote lakini zaidi sana katika kipindi cha ubatizo, komnio, ubarikio na upad...

Wimbo huu Mbali kule naskia umeimbwa namtumishi wa Mungu John Maja katika album yake ya nyimbo za christmas ijulikanayo kwa jina la Mbali kule naskia....